Back to home

Wafanyabiashara wa mbegu bandia na dawa wachunguzwa

video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaohusika na usambazaji wa mbegu ghushi, dawa za wadudu na mbolea bandia, ikiahidi kuchukua hatua kali ikiwemo kufunga maduka yote yatakayopatikana na hatia..