Back to home

Vijana wa bonde la ufa wawakashifu wanaopinga maendeleo mashinani

video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Vijana kutoka Bonde la Ufa wamewakashifu baadhi ya viongozi wanaonekana kutounga mkono makundi mbalimbali kupata vifaa vya kazi kwenye mpango wa serikali wa kuwawezesha kupata ajira. Aidha vijana hao wamesema kuwa ni hiari ya Rais kuchagua ni kikundi kipi atakutana nacho huku wak..