Back to homeWatch Original
Timu ya Kenya yafanya maandalizi ya mashindano yajayo ya ubingwa wa dunia
video
September 3, 2025
9h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya Kenya inaendelea kufanya maandalizi yake ya Mashindano yajayo ya Ubingwa wa Dunia, huku vijana wapya WAkiimarisha kikosi cha wanariadha. Kwa mara ya kwanza, Kenya itashirikisha timu tatu za kupokezana vijiti, hatua muhimu inayoashiria kuimarika kwa nchi katika mbio fupi. ..