Back to home

Serikali yakusanya maoni kuhusu mswada wa uchumi wa baharini

video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wavuvi katika kaunti ya Kwale wamepinga zoezi linaloendeshwa na kamati ya bunge la kitaifa ya uchumi wa baharini la kukusanya maoni ya mswada wa usimamizi na maendeleo ya uvuvi wa 2023 wakisema muda uliowekwa ni mchache.Wakizungumza huko Tiwi wakati wa kikao cha kukusanya maoni k..