Back to homeWatch Original
Waendeshaji basikeli watatu kushindana katika majaribio ya Virtus nchini Ufaransa
video
September 3, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Waendeshaji basikeli watatu wa Kenya Eric Murimi, Lenny Murea, na Ricky Karithi Kairichi, wote wenye umri wa miaka 14, watashindana katika Majaribio ya Virtus nchini Ufaransa Septemba 20, 2025. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told ..