Back to homeWatch Original
Ujenzi wa bwawa Lamu
video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali ya Kaunti ya Lamu, kwa kushirikiana na Shirika la WWF, imejenga bwawa la maji katika eneo la Pangani litakalotumiwa na jamii ya wafugaji kunywesha mifugo wao ili kupunguza migogoro kati ya wafugaji na wakulima. Migogoro hiyo imeendelea kushuhudiwa katika eneo la Pangani ..