Back to homeWatch Original
Safari za Serikali: Ksh 25B zatumika, Nyakang’o aibua maswali
video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mdhibiti wa bajeti margaret nyakang’o ameibua maswali kuhusu matumizi yasiyofaa ya serikali kwenye safari za humu nchini na nje ya nchi. Nyakang'o anasema serikali ilitumia shilingi bilioni 25 kwenye safari hizo. Haya yanajiri mwaka mmoja tu baada ya rais ruto kutangaza kwamba ..