Back to home

Barabara mbovu Maralal

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Madereva wa magari ya uchukuzi pamoja na wale wa magari ya kibinafsi wanaotumia barabara ya Maralal kwenda Nyahururu, wamelalamikia kuharibika Kwa barabara hiyo. Mashimo mengi kwenye barabara hiyo yamekuwa chanzo cha ajali za mara kwa mara. Madereva hao wanataka mamlaka ya ujenzi..