Back to home

Wakazi wa Kenol wapinga mradi wa serikali wa kupanua ofisi za utawala wa Murang’a Kusini

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa mji wa Kenol, hususan vijana, wamepinga vikali mpango wa serikali wa kupanua ofisi za utawala wa Murang’a Kusini katika uwanja wa Kimorori. Kulingana nao, wamekuwa wakitumia uwanja huo kukuza vipaji vyao kupitia michezo, na sasa wanahofia kufurushwa. Vijana hao wanas..