Back to homeWatch Original
Serikali kulipa faini ya Ksh 25B kwa madeni yaliyosalia
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mdhibiti wa bajeti margaret nyakango sasa anasema kuwa kukataa kwa serikali kuu kulipa madeni kwa wanakandarasi kumevutia faini kubwa na wakenya watalazimika kulipa faini ya zaidi ya shilingi bilioni 25. Katika ripoti yake, nyakang'o amesema kuwa wizara ya barabara imepata faini ..