Back to home

Magenge yatisha wakaazi kwenye barabara kuu za Nairobi

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Magenge ya wahalifu yametawala jiji kuu la Nairobi huku wakazi na wafanyibiashara wakiishi kw auwoga. Wakazi wanalalamikia kukithiri kwa magenge ya vijana waliojihami kwa visu na vifaa vingine kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Nairobi. Baadhi ya wanaolalamika wanasema kuwa vijan..