Back to homeWatch Original
Maandamano Mandera kufuatia hofu ya usalama na madai ya wapiganaji Jubaland
video
September 4, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa Mandera wanahofia usalama wao kufuatia madai ya kuwasili kwa wanajeshi kutoka eneo jirani la JUBALAND nchini Somalia, katika mji huo wa mpakani. Wakazi wakielezea kushindwa kuendelea na shughuli zao za kila siku kwa kuhofia maisha yao. Hatahivyo, naibu chifu wa eneo la ..