Back to homeWatch Original
Police bullets yaibuka 1-0 dhidi ya Kampala Queens
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya police bullets ya kenya imeanza vyema kwenye mashindano ya kufuzu kwa kombe la klabu bingwa barani baada ya kuipiku kampala queens kwa bao 1-0 katika uwanja wa nyayo alasiri ya leo. Bao la pekee lilitiwa kimyani na mchezaji wa akiba emily moranga katika kipindi cha pili...