Back to homeWatch Original
Mwili wa mwanafunzi wafukuliwa Nyamira baada ya mauaji
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shughuli ya kufukua mwili wa mwanafunzi wa miaka ishirini faith kemunto, imefanyika huko nyamira huku polisi wakimzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji hayo. Inaarifiwa kuwa gideon makori, ambaye alikuwa mpenziwe alimuua na kisha kuuzika mwili. Maryanne nyambura anaarifu zaidi...