Back to homeWatch Original
Moto mkuu wazuka eneo la Katani Syokimau usiku wa kuamkia leo.
video
September 5, 2025
9h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya nyumba za wakaazi ziliteketea kabla ya wazima moto kufika na kuudhibiti Wakazi walikesha wakikadiria hasara iliyowakumba. Gharama kamili ya vitu vilivyoteketea bado haijabainika kufikia sasa. Uchunguzi zaidi unaendelea ili kutambua kiini cha moto huo...