Back to homeWatch Original
IGAD yakamilisha mafunzo ya uongozi ya awamu ya pili
video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mafunzo ya siku nne ya maendeleo ya uongozi ya kundi la pili katika chuo cha mafunzo ya wafanyakazi wa serikali yamekamilika. Mafunzo ya chuo cha uongozi cha IGAD kwa ushirikiano na serikali ya japan yanawaleta pamoja viongozi vijana ambao ni wanachama wa IGAD..