Back to homeWatch Original
Makovu ya hillside endarasha
video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia 21 zilizowapoteza wana wao kwenye mkasa wa moto katika bweni la wavulana shuleni Hillside Endarasha mwaka jana bado zinadai majibu kuhusu chanzo cha moto huo. Familia hizo zinasema kukosa taarifa kuhusiana na yaliyojiri ndio kikwazo kikubwa kwa wao kupiga hatua za kutuliz..