Back to homeWatch Original
Kaunti zatakiwa kushirikiana ili kupunguza vifo
video
September 5, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali za Kaunti zimetakiwa kushirikiana kwa karibu katika juhudi za kupunguza vifo kwa akina mama wanapojifungua na vya watoto wanaozaliwa. Kulingana na takwimu za hivi punde, Kenya inapoteza akina mama zaidi ya elfu tano kila mwaka na watoto 92 kila siku kutokana na sababu am..