Back to homeWatch Original
Watu watatu waambukizwa ugonjwa wa Mpox
video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Visa vya maradhi ya mpox vimeripotiwa katika kaunti ya Nyandarua. Watu watatu tayari wamethibitishwa kuambukizwa maradhi hayo hatari. Mgonjwa mmoja amelazwa katika hospitali ya Engineer level four huku hao wengine wawili wakilazwa katika hospitali ya Kaunti ya Nyahururu...