Back to home

Wazee wataka jamii zote zinazoishi Samburu kuishi kwa amani

video
September 5, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baraza la wazee wa Samburu limetoa wito kwa wazee katika Kaunti ya Samburu kuungana na kuleta amani miongoni mwao pamoja na jamii zingine kwa ujumla. Mwanahabari wetu Aisha Seif anataarifa zaidi...