Back to homeWatch Original
Wafanyabiashara ya miraa walalamikia kuwepo kwa wakiritimba
video
September 5, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wauzaji wa miraa nchini wameonya kuhusu uwepo wa wakiritimba wanaodaiwa kufanya kazi kwenye viwanja vya ndege, wakisema wanawazuia kufanya biashara na nchi nyingine..