Back to homeWatch Original
Serikali yakagua shule, 3,000 zapokea Fedha huku 32,000 zikisubiri
video
September 6, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kati ya shule 32,000 zilizosajiliwa nchini, ni shule elfu tatu tu zilizopata mgao wa fedha za serikali za kufadhili masomo kufikia sasa. Katibu wa elimu Profesa Julius Bitok amesema kuwa wizara ya elimu inakagua stakabadhi za zaidi ya shule elfu 32 ili kung'oa shule na wanafunzi ..