Back to home

Selelo na Songol washinda mbio za chuo kikuu cha Meru

video
September 7, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Michael Selelo kutoka Narok alinyakua ushindi katika mbio za milimani za kilomita 14 za chuo kikuu cha Meru alipomaliza mbio hizo katika muda wa dakika 48:43:10 huko marimba kaunti ya Meru...