Back to home

Tume ya NGEC yafanya mkutano Laikipia kukusanya maoni

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
16h ago
Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa imezindua mpango wa siku mbili wa ukusanyaji wa takwimu kuhusu ukatili wa kijinsia katika jamii zilizotengwa kaunti ya Laikipia.