Back to home

Kaunti ya Kwale imeongoza vidimbwi vya samaki Mwazaro

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
16h ago
Kaunti ya Kwale imeongoza shughuli ya uvuaji wa samaki katika vidimbwi vya samaki eneo la Mwazaro huko LungaLunga. Vidimbwi hivyo viwili vina samaki 2800 vilivyoanzishwa na serikali ya kaunti ya kwale kupitia mradi wa kemfsed unaofadhiliwa na benki ya dunia.