Back to home

Kampala Queens CECAFA yacharaza Eritrea mabao 7 kwa 0 kwenye CECAFA la wanawake

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 8, 2025
17h ago
Kampala Queens ya Uganda iliiadhibu Denden ya Eritrea mabao 7 kwa 0 uwanjani Nyayo katika mechi ya kundi A ya kuwania kombe la CECAFA la wanawake. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discus