Back to home

Sherehe za kitamaduni za Chenda Chenda zaibua mgawanyiko miongoni mwa jamii za Mijikenda

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 8, 2025
17h ago
Sherehe za kitamaduni za jamii za Pwani, maarufu kama Chenda Chenda zinazofanyika kila mwaka tarehe 9 mwezi wa 9, zimeibua mgawanyiko miongoni mwa jamii za Mijikenda kutokana na maslahi ya kisiasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as