Back to home
Harambee Stars vs Ushelisheli: Mechi ya kufuzu kombe la dunia kesho
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2025
6h ago
Timu ya taifa ya kandanda harambee stars itamenyana na ushelisheli kesho alasiri katika mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia la 2026 kwenye uwanja wa kasarani. Mechi hiyo haina uzito wowote kwani timu zote mbili haziko kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya fainali mwaka ujao.