Back to home

Kampeini dhidi ya kujitia kitanzi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Huu ukiwa Mwezi wa hamasisho Dhidi ya Kujiua au Kujitia Kitanzi Ulimwenguni, Muungano wa Watoa nasaha wa Saikolojia Nchini pamoja na Msalaba Mwekundu wamefanya Mazungumzo kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Shule za kiufundi, Wakilenga kuzungumza na Vijana wa Chini ya Miaka 30 ambao M