Back to home
Wakaazi wa Kalokol walilia umeme licha ya ahadi ya Rais
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Rais William Ruto anapoanza rasmi miaka mitatu akiwa madarakani akiongoza taifa hili, wakaazi wa Kalokol katika kaunti ya Turkana ambao wamekuwa wakikosa stima wamejitokeza kumkumbusha rais atimize ahadi yake ya kuwawekea umeme. Wakaazi wa Kalokol wanalaumu wanasiasa kwa kuchangi