Back to home
Wakaazi wa Bungoma walalamikia kutohusishwa katika miradi tofauti katika kaunti
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
6h ago
Swala la kutohusisha wakazi kikamilifu kutoa maoni kwenye zoezi la kuandaliwa kwa bajeti limetajwa kuwa kizingiti katika kuafiki uwajibikaji wa huduma katika serikali za kaunti.