Back to home
Wamiliki wa magari ya uchukuzi wa umma walalamika
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Wamiliki wa magari za uchukuzi wa umma wameitaka serikali kuchukua hatua thabiti kukabiliana na uhalifu wa wahudumu wa bodaboda wa kuchoma magari yakisababisha ajali.