Back to home
Washukiwa wawili waliomvamia mwanahabari washtakiwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Washukiwa wawili wa wizi wa mabavu wamefikishwa katika mahakama ya Eldoret kwa madai ya kumpora mwanahabari wa Citizen Tv, Steve Shitera vifaa vya kazi na pesa kisha kumjeruhi.