Back to home
Wakazi wa Madogo TanaRiver wachukua sheria mkononi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Mshukiwa mmoja wa wizi wa piki piki katika mji wa Madogo kaunti ya Tana River ameuwauwa kwa kuteketezwa na wenyeji baada ya kujaribu kuiba piki piki ya mkazi mwendo wa saa kumi na moja alfajiri ya leo.