Back to home

Serikali yaahidi kuwapiga jeki wanamitindo na wabunifu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
5h ago
Katibu katika wizara ya mawasiliano na uchumi wa mitandao John Tanui ametoa hakikisho kwa wanamitindo kuwa serikali itaendelea kuhakikisha wanafaidi katika kazi zao