Back to home
Tamasha ya utamaduni wa wapwani yafanyika Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
5h ago
Sherehe za kitamaduni za jamii za Pwani, maarufu kama Chenda Chenda zinazofanyika kila kwaka tarehe 9 mwezi wa 9, zimeng’oa nanga rasmi leo.