Back to home
Mwanakandarasi kuendelea na ujenzi wa kituo cha Suam
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
3h ago
Serikali hatimaye imemlipa mwanakandarasi anayejenga kituo cha forodha cha Suam, Kaunti ya Trans Nzoia, ili kupunguza msongamano wa magari kwenye mpaka wa Kenya na Uganda. Kukamilishwa kwa barabara kuu ya Kitale kuelekea Uganda kunalenga kuimarisha uchukuzi baina ya nchi hizi mbi