Back to home
Wadau wa sekta ya afya wanazitaka hospitali kuwekeza katika mikakati endelevu
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 10, 2025
5h ago
Wadau wa sekta ya afya wanazitaka hospitali nchini kuwekeza katika mikakati ya uendelevu wa mazingira, wakisema kuwa mabadiliko ya tabianchi hayawezi kupuuzwa tena katika huduma za afya.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Keny