Back to home

Bullets waingia nusu fainali CECAFA

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Waakilishi wa kenya kwenye mchuano wa CECAFA kuwania kufuzu kwa kombe la klabu bingwa Afrika upande wanawake Police Bullets fc wameingia nusu fainali kufuatia ushindi wa mbili bila dhidi ya Den Den fc ya Eritrea alasiri ya leo.kwenye mechi iliyochezwa uwanjani nyayo hapa Nairobi,