Back to home

Mwili wa ajuza wapatikana mtoni Chepchirik, Kericho

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Mafisa wa polisi wa Sosiot wameazisha uchunguzi wa kifo cha ajuza wa miaka sabini ambaye mwili yake alipatikana ndani ya mto Chepchirik katika Kijiji cha Kesagetiet eneo bunge la Belgut Kaunti ya Kericho .