Back to home

Baadhi ya wakazi Busia wasifu miradi ya serikali ya Kenya kwanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Miaka mitatu sasa tangu Rais William Ruto kuchukua hatamu za uongozi, baadhi ya wafuasi wake katika kaunti ya Busia wamewataka wanasiasa kukoma kuingiza siasa katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika kaunti ya Busia. Hata hivyo, baadhi ya wafanyabia