Back to home

Simba iliilaza kogalo mbili bila Jumatano

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Timu ya Gor Mahia ililazwa mabao mawili kwa nunge na Simba ya Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uwanjani Benjamin Mkapa nchini Tanzania.