Back to home
Wananchi watoa hisia kuhusu utendakazi wa Rais Ruto
video
C
Citizen TV (Youtube)September 13, 2025
2h ago
Wakenya wametoa hisia mseto kuhusiana na uongozi wa serikali ya kenya kwanza na Rais William Ruto miaka mitatu baada ya kuchuma uongozi. Baadhi wanasema serikali imetekeleza majukumu katika baadhi ya sekta huku wengine wakisema mengi kuna mengi ambayo bado hayajafanyika.