Back to home
Ruto asisitiza ujenzi wa kanisa ikulu licha ya kusitishwa na mahakama
video
C
Citizen TV (Youtube)September 14, 2025
2h ago
Rais William Ruto ameendelea kueleza mipango yake ya kuendelea na ujenzi wa kanisa ndani ya ikulu ya Nairobi. Akizungumza wakati wa ibada ya jumapili katika ikulu hii leo, Rais ameelezea imani ya kupanuliwa kwa sehemu hiyo ya ibada aliyoitaja kuwa ndogo kwa wanaumini wanaofika kw