Back to home
Wakazi Ndia waandamana kupinga ubovu wa barabara na daraja
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
3h ago
Maafisa wa polisi wa kituo Cha Baricho eneo la Ndia, Kaunti ya Kirinyaga,wamelazimika kuwakabili waandamanaji waliofunga barabara ya Kiburu-Kabonge. Waandamanaji hao walifunga barabara hiyo Kwa kuwasha moto barabarani kulalamikia kuchelewa kwa ujenzi wa daraja la Njoga-Kariani kw