Back to home
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Garissa watumia nafasi zao kufichua maovu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
3h ago
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Garissa wamehimizwa kutumia nafasi yao kutetea na kufichua maovu yanayofanyika katika jamii ili kudumisha heshima na haki kwa wanyonge.