Back to home

Spika wa Isiolo ataka Gavana Guyo achunguzwe kwa uhalifu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
3h ago
Spika wa Bunge la kaunti ya Isiolo Mohammed Roba ameitaka serikali kuwajibika zaidi katika kesi iliyomhusisha gavana wa kaunti hiyo Abdi Guyo ambapo anadaiwa kupanga njama ya kumteka nyara na kumjeruhi aliyekua Afisa mkuu wa Afya katika kaunti hiyo. Spika Roba akiongea katika ene