Back to home

Vijana katika kaunti ya Nyamira wataka EACC imchunguze Gavana Nyaribo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
3h ago
Baadhi ya vijana kutoka kaunti ya Nyamira wameendeleza shinikizo lao kwa tume ya kupambana na ufisadi nchini, kumchunguza na kumtia mbaroni gavana wa kaunti hiyo