Back to home

Rais Ruto awakashifu wapinzani wake

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
3h ago
Rais William Ruto amewakashifu wapinzani wake akiwalaumu kwa kuendeleza porojo kuhusu miradi ya serikali bila suluhu yoyote. Akizuru kaunti ya kilifi leo, Rais Ruto amesema serikali yake haina nafasi na upinzani na kuwa inazidi kutekeleza ahadi walizotoa kwa wakenya.