Back to home
Vijana wafunzwa mbinu za kukagua miradi ya serikali Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
2h ago
Kundi moja la vijana kutoka kaunti ya Garisaa limepokea mafunzo ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kuu na ya kaunti ili kuhakikisha matumizi bora wa pesa za umma.